Mambo yamekuwa bambam, yamepamba moto katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Bababti, mkoani Manyara leo Oktoba 4, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA – 0754264203





