YALIYOJIRI ZIARA YA DKT NCHIMBI; ASISITIZA SUALA LA MBOLEA, MSHIKAMANO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Nchimbiakihutubia wananchi katika ziara yake ya kikazi mkoani Rukwa, amesisitiza serikali kusambaza mbolea kwa wakati na kutafuta masoko ya mazao ya…
WANAFUNZI WAFURIKA BANDA LA WAKALA WA VIPIMO MAONESHO YA MADINI GEITA
Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) limekuwa kivutio kikubwa kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo katika Maonesho ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea Mkoani Geita, baada ya mamia…
NMB YAJIUNGA NA GOAT RACES KUCHAGiZA ELIMU YA VIJANA
NMB Bank imejiunga kwa mara ya kwanza kuwa mdhamini wa Mbio za Mbuzi za mwaka 2026, zinazolenga kukusanya Sh milioni 200 kwa ajili ya kusaidia vijana 150 kujiunga na vyuo…
PROF. NDALICHAKO AMPONGEZA NDEJEMBI
Mbunge wa Kasulu Mjini, Profesa Joyce Ndalichako akimpongeza Deogratius Ndejembi kwa kuidhinishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais Mteule bungeni Dodoma hivi karibuni.