WASIRA AFAFANUA KUONGEZA DENI LA TAIFA, AMTETEA RAIS DK.SAMIA
Na Mwandishi Wetu, Maswa MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi…
WASIRA AWAHAKIKISHIA WAKULIMA, CCM KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
MAKAMU Mwenyekiti wa Chana Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahakikishia wananchi wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga Chama hicho kitaendelea kutatua changamoto zao ikiwemo ya kuhakikisha wanapata mazao mengi…
WAZIRI RIDHIWANI AHIMIZA WANAGENZI KUZINGATIA UJUZI WANAOPATIWA VYUONI
Na, Mwandishi Wetu – SINGIDA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amewasihi vijana wanufaika wa mafunzo ya ufundi stadi kuzingatia…
CCM KULETA FARAJA KWA VIJANA WA KITANZANIA
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeweka kipaumbele katika kutatua changamoto za vijana, hasa suala la ajira kupitia Ilani yake ya Uchaguzi mkuu wa 2025-2030. Kauli hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa…
CCM YAFANYA UTEUZI
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika…
DKT MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika…