DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

ccmkwanza
0 Min Read

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri  Kuu ya CCM Taifa  kilichofanyika Zanzibar ,tarehe 29 Julai, 2026.

Share This Article