MAMBO MAZURI KAMPENI ZA DKT. SAMIA LEADERS CLUB DAR

ccmkwanza
1 Min Read

Shamra Shamra, nderemo vikiwa  vimetawala kwenye Uwanja wa Leaders Club Kinondoni Dar es Salaam katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri y Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 21, 2025. Kampeni hizo zimeshirika wananchi kutoka Kinondoni, Kawe, Kibamba na Ubungo.

Dkt. Samia katika kampeni zake amekuwa akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura bila woga Oktoba 29, 2025, akiwahakikishia usalama wa kutosha na kwamba atakayediriki kusababisha vurugu atakiona na moto, kwani vyombo vya ulinzi na usalama viko imara.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *