Salehe Mhando akila kiapo cha utiifu na uzalendo cha ubunge katika uapisho uliofanyika bungeni Dodoma Novemba 12, 2025 tayari kuanza kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Kilindi mkoani Tanga.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203
Sign in to your account