KASAKA AWAKA BUNGENI UCHELEWESHWAJI MRADI WA MAJI CHUNYA

ccmkwanza
0 Min Read

Mbunge wa Lupa Chunya, Masache Kasaka ameihoji serikali bungeni kwamba lini ujenzi wa Mradi wa Maji Chunya uliosainiwa na kutengewa fedha utaanza lini?

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 21, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew.

Share This Article