NAIBU WAZIRI WANU ATETA NA WANAFUNZI BUNGENI

ccmkwanza
1 Min Read

Naibu Waziri wa Elimu na Teknolojia ya Habari, Wanu Hafidh Ameir akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Chemchem ya Jijijini Dodoma iliyotembelea Bunge jijini Dodoma Mei 6, 2026, kwa lengo la kujifunza mwenendo wa Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Akipiga picha nao.

Afisa mwandamizi wa Elimu kwa Umma wa Bunge, Waziri Kizingiti akitoa maelekezo kwa wageni wakiwemo wanafunzi kuhusu taratibu za bunge.

Wanafunzi wakiwa Ukumbi wa Msekwa kupata elimu kuhusu mwenendo wa Bunge pamoja na kupata fursa ya kuuliza maswali baada ya kuhuhudhiria kwenye ukumbi mkubwa.

Wanafunzi na walimu wao wakiwa ndandi ya ukumbi mkubwa wakisikiliza kipindi cha maswali na majibu.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA – 0754264203

Share This Article