MAKALLA ASIKITISHWA NA KAULI YA KIBAGUZI YA TUNDU LISSU

ccmkwanza
1 Min Read

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesikitishwa na kushangaa kauli zenye hila na upotoshwaji zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu zenye lengo la kuigawa nchi.

Ameonesha masikitiko hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Aprili kuhusu kauli hizo alizozitoa Lissu alipokuwa akihutubia wananchi jijini humo ambapo alitoa kauli ya kibaguzi kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibar.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *