Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akitambulishwa bungeni Dodoma Mei 2, 2024. Makalla pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa CCM walialikwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
0754264203