SERIKALI ITAGHARAMIA MATIBABU KWA WASIO NA UWEZO – DKT. SAMIA

ccmkwanza
1 Min Read

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku Hospitali za Serikali kuzuia miili ya waliofariki dunia inayodaiwa.

Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa agizo hilo alipokuwa akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ndege wa zamani Mwanjelwa jijini Mbeya Septemba 4, 2025 na kwamba Serikali itaandaa mfumo maalumu wa ndugu kulipa deni kabla au baada.

Aidha Dkt. Samia amesema kuwa Serikali itatenga fedha za mfuko maalumu wa kugharamia matibabu ya vipimo maalumu ya kibingwa kwa wasio na uwezo.


 https://www.youtube.com/embed/M1uDouJJaz0IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

 MSIMAMIZI MKUU

 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 

0754264203

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *