Baadhi ya machifu na wasaidizi wao wa Wilaya ya Mbeya Vijijini waliohojiwa katika mkutano wa kampeni za CCM katika Mji wa Mbalizi Septemba 4, 2025, wameomba amani ya nchi idumishwe na kumtakia ushindi mkubwa Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.