BUKOMBE YATIA FORA KAMPENI ZA DKT. SAMIA

ccmkwanza
1 Min Read

Umati mkubwa wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliojitokeza leo kwenye Viwanja vya Shule ya Igurwa, Wilayani Bukombe, Mkoani Geita leo Jumapili Oktoba 12, 2025 kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeanza ziara yake ya Kampeni katika Mkoa huo akitokea Mkoani Shinyanga. Kabla ya mkutano huo alipita kuwasalimia na kuwaomba kura wananchi wa Wilaya ya Mbogwe.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *