COPRA IWE JICHO LA KUSIMAMIA MAZAO HADI NGAZI YA VIJIJINI – MWALUNENGE

ccmkwanza
1 Min Read

Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge ameipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ruzuku katika mbolea na baadhi ya pembejeo, lakini pia ameshauri COPRA kuongezewa nguvu ya Rasilimali watu ili iendelee kufanya kazi nzuri ya kuwatumikia wakulima nchini.

Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Aprili 20,2026.

Share This Article