MATUKIO YA WABUNGE BUNGENI DODOMA

ccmkwanza
0 Min Read

Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge wakiwahi kuingia bungeni Dodoma Mei 11, 2026, kuhudhuria Mkutano wa Bajeti ambapo leo imekuwa Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA – 0754264203

Share This Article