SOMENI KWA BIDII MJE KUWA MAWAZIRI WA BAADAYE – WANU

ccmkwanza
1 Min Read

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir akitoa neno la kuwatia moyo wanafunzi wa Shule ya St. Dominic Savio ya Iringa waliotembelea Bunge Mei 26, 2026.

Awali wanafunzi hao walipata wasaa wa kuhudhuria kikao cha Bunge na kuona mwenendo mzima wa bunge lakini pia walijifunza historia na shughuli mbalimbali za bunge hilo kupitia kwa maafisa habari, mawasiliano na elimu kwa umma wa bunge hilo.

Wanafunzi walipata nasaha pia kutoka kwa Waziri wa wizara hiyo, Prof, Adolf Mkenda (kushoto).

Prof. Mkenda na Wanu wakipiga picha na wanafunzi kwenye viunga vya Bunge.

Share This Article