Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Juni 2,2026.
Ameshauri wizara hiyo iongezewe bajeti kwani ina majukumu makubwa.