BAJETI WIZARA YA AFYA YAFIKIA SH. TRIL. 1.8

ccmkwanza
0 Min Read

Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 11, 2026.

Jumla ya fedha zote zinazoombwa na Wizara ni kiasi cha Shilingi 1,800,262,058,000.00 ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea.

Share This Article