MBUNGE EDIBILY AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI KASULU VIJIJINI

ccmkwanza
1 Min Read

Edibily amesema wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini wanampenda Rais wao Dr. Samia Suluhu Hassan na Chama Cha Mapinduzi. 

Edibily kasisitiza uimara wa chama na hatima ya wawakilishi wa wananchi ipo katika utatuzi wa changamoto za wananchi hasa migogoro ya ardhi kwa jimbo hilo la Kasulu Vijijini.

Edibily ameiomba Serikali kusaidia katika utatuzi wa migogoro ya ardhi ili kuendelea kudumisha imani ya wananchi kwa Serikali yao na Chama

Share This Article