SERIKALI YAKUBALI OMBI LA MWANYIKA KUJENGA VITUO VYA KUPOOZA UMEME NJOMBE

ccmkwanza
0 Min Read

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka Serikali kupeleka vituo vya kupoozea umeme katika maeneo ya uwekezaji Njombe Mjini. Ameyasema hayo awakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 27, 2026.

Share This Article