TUNATAKA WAKANDARASI WAREJEE HARAKA KUJENGA BARABARA YA ITONI – LUSITU – MWANYIKA

ccmkwanza
0 Min Read

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amezidi kuibana serikali kuhusu maendeleo ya ujenzi unaosuasua wa barabara ya Itoni- Lusitu mkoani Njombe.

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni juni 16, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya.

Share This Article