Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, Deodatus Mwanyika amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kununua meli kubwa ya uvuvi wakati wa uzinduzi wa meli hiyo Kigamboni jijini Dar es Salaam Aprili 25, 2026.