WANAWAKE WACHUUZI MAFINGA WAMKUBALI DKT. SAMIA

ccmkwanza
0 Min Read

Baadhi ya wafanyabiashara wanawake wa Mafinga wilayani Mufindi wameahidi kumpigia kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Wametoa ahadi hiyo katika mahojiano yaliyofanyika wakati wa kampeni za CCM zilizofanyika Mjini Mafinga Septemba 6, 2025.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *