POLENI BABA ASKOFU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole viongozi wa dini, wakiongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Baba…

ccmkwanza ccmkwanza

POLENI SANA FAMILIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia, ndugu na jamaa wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, mara baada ya kuweka…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI

_Una maneno yaliyotumiwa dhidi ya Nduli Idi Amin_ _Asisitiza utaifa ulindwe kwa wivu mkubwa_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI: WAJUMBE WA CCM KURA ZA MAONI SIKILIZENI WANANCHI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI KWA NYERERE, AKABIDHIWA ’KIFIMBO’ KWA KUKUBALIKA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo na kukabidhiwa fimbo maalum na familia hiyo…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Ukumbi…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI UWANJA WA NDEGE MUSOMA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara,…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akipokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na…

ccmkwanza ccmkwanza