MAMBO YAMEANZA CCM, DKT. SAMIA ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na…
BALOZI NCHIMBI AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU TAIFA DODOMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi…
RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. Kikao hicho cha…
CCM YATIA KIBINDONI SH. BIL. 2.7 KWA WAWANIA UBUNGE 5,475
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM linakamilika siku ya jana…
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA
*Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila *Awapongeza wanawake kusimamia amani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga…