BALOZI NCHIMBI AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA CCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC), leo Jumamosi, tarehe 30 Mei…

ccmkwanza ccmkwanza

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM YAPAMBA MOTO DODOMA

CHAMA Cha Mapinduzi  (CCM) kinaanza kujenga  la kisasa la Makao Makuu jijini Dodoma linalojengwa karibu na Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI ABORESHA TAARIFA ZAKE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, Mtaa wa…

ccmkwanza ccmkwanza

RAIS SAMIA AWAONGOZA WANACHAMWINO KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025…

ccmkwanza ccmkwanza

POLENI BABA ASKOFU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole viongozi wa dini, wakiongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Baba…

ccmkwanza ccmkwanza

POLENI SANA FAMILIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwasalimia na kuwapatia pole familia, ndugu na jamaa wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, mara baada ya kuweka…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI

_Una maneno yaliyotumiwa dhidi ya Nduli Idi Amin_ _Asisitiza utaifa ulindwe kwa wivu mkubwa_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI NCHIMBI: WAJUMBE WA CCM KURA ZA MAONI SIKILIZENI WANANCHI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni…

ccmkwanza ccmkwanza