DKT. SAMIA AZIDI KUSHUSHA NEEMA KWA WAKULIMA, KUANZISHA VITUO VYA KUKODISHA MATREKTA KWA BEI POA

 MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha vituo vya ukodishaji trekta nchini ‎ ‎Amesema trekta hizo na zana zingine za kilimo …

ccmkwanza ccmkwanza

ACHANENI NA WAHUNI WANAOPOTOSHA MAMBO MAZURI YANAYOFANYWA NA DKT. SAMIA-CHATANDA

Cheche za Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) alipokuwa akizundua Kampeni za CCM katika Jimbo la Mkuranga Mkoani Pwani, Kampeni …

ccmkwanza ccmkwanza

NMB YATAMBULIWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA JKCI

Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema imeokoa zaidi ya Sh. bilioni 172 ambazo awali zilitumika kupeleka wagonjwa wa moyo nje ya nchi. Kauli hiyo…

ccmkwanza ccmkwanza

KUMEKUCHA KAMPENI ZA DKT. NCHIMBI GEITA

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi wa kata ya Katoro , leo Jumamosi Septemba 6,2025 Wilaya ya Geita, Mkoani Geita…

ccmkwanza ccmkwanza

WANAWAKE WACHUUZI MAFINGA WAMKUBALI DKT. SAMIA

Baadhi ya wafanyabiashara wanawake wa Mafinga wilayani Mufindi wameahidi kumpigia kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,…

ccmkwanza ccmkwanza

SHANGWE ZALIPUKA DKT. SAMIA AKIWATANGAZIA NEEMA WAKULIMA WA CHAI, PARACHICHI NJOMBE

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa Njombe katika muendelezo…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. SAMIA MBIONI KUNYANG’ANYA MASHAMBA, VIWANDA VYA CHAI VILIVYOTELEKEZWA RUNGWE

Wawekezaji waliotelekeza mashamba na viwanda vya zao la chai wilayani Rungwe watanyang'anywa na kuvirejesha kwa wananchi chini ya usimamizi wa Vyama vya Ushirika. ‎ ‎Agizo hilo limetolewa na Mgombea Urais…

ccmkwanza ccmkwanza

TUTAJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHIA PARACHICHI – DKT. SAMIA

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali iko mbioni kujenga vituo 50 vyenye mitambo ya ubaridi wa kuhifadhia…

ccmkwanza ccmkwanza

NI MAFURIKO MKUTANO WA KAMPENI WA DKT. NCHIMBI KAHAMA

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi wa Kahama mjini, jimbo la Kahama, leo Alhamis Septemba 4,2025,mkoani Shinyanga. Dkt Nchimbi akihutubia…

ccmkwanza ccmkwanza

SERIKALI ITAGHARAMIA MATIBABU KWA WASIO NA UWEZO – DKT. SAMIA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku Hospitali za Serikali kuzuia miili ya waliofariki dunia inayodaiwa. Dkt. Samia…

ccmkwanza ccmkwanza