BALOZI NCHIMBI ATUA JIMBO LA KAKONKO, KIGOMA
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi kwenye mkutano wake mdogo wa hadhara wa kampeni uliofanyika…
BUKOMBE YATIA FORA KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Umati mkubwa wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliojitokeza leo kwenye Viwanja vya Shule ya Igurwa, Wilayani Bukombe, Mkoani Geita leo Jumapili Oktoba 12, 2025 kumlaki na…
MWANZA MAMBO YAMENYOOKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Wananchi wakiwa 'wamemwagika' katikaMkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza asubuhi hii Oktoba 8,…
DKT. SAMIA AHIDIWA USHINDI USIO NA SHAKA MWANZA
Na Richard Mwaikenda, Buhongwa, MWANZA Mkoa wa Mwanza wameahidi kumpatia ushindi wa kishindo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu…
DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE YA MWANZA-BUHONGWA, USAGARA
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa barabara zinazohudumiwa na…
ZAIDI YA WATU MIL. 14WAJITOKEZA MIKUTANO YA KAMPENI YA DKT. SAMIA
Na Richard Mwaikenda, Dodoma ZAIDI ya watu milioni 14.62 wamejitokeza kwenye mikutano moja kwa moja, milioni 31.6 wamefuatilia kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii katika mikutano ya kampeni…
MAMBO YAMEKUWA MAMBO KAMPENI ZA DKT. SAMIA BABATI, MANYARA
Mambo yamekuwa bambam, yamepamba moto katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Bababti,…
DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA SGR MPYA, BANDARI YA BAGAMOYO
Na Richard Mwaikenda, Pwani MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Reli ya kisasa ya SGR itakayounganisha…
JITOKEZENI KWA WINGI BILA HOFU SIKU YA KUPIGA KURA OKTOBA 29 – DKT. SAMIA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ametoa wito kwa watanzania kushiriki kampeni za uchaguzi mkuu kupitia…
KUMEKUCHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA PEMBA
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Gombani…