KAMPENI ZA DKT. SAMIA ZAHAMIA ZANZIBAR

 Baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2025, leo Septemba 17, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

ccmkwanza ccmkwanza

NYOMI KAMPENI ZA DKT. SAMIA KIGOMA MJINI

Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM,Dkt Samia Suluhu Hassan  Kigoma Mjini, Septemba 14, 2025.…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. SAMIA AWASTUA WANA-KIGOMA KUCHANGAMKIA FURSA UJIO WA SGR

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma kujipanga kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujio…

ccmkwanza ccmkwanza

URAMBO WAAPA KUMPIGIA KURA DKT. SAMIA

Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora wakielezea jinsi wanafurahishwa na uongozi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt Samia Suluhu Hassan na…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. SAMIA AAHIDI MAKUBWA UYUI, IGALULA

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga tanki kubwa la maji lenye ujazo Lita miliini moja…

ccmkwanza ccmkwanza

NI GHARIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA SINGIDA, AAHIDI KUWATAFUTIA SOKO LA DENGU, MBAAZI

Sehemu ya umati wa wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye Uwanja wa Bombadia Mjini Singida leo Septemba 9, 2025.katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Kupitia…

ccmkwanza ccmkwanza

KINDUMBWE NDUMBWE CHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA NI ZAMU YA SINGIDA

Muendelezo wa mchakamchaka wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. MIGIRO AFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. MWINYI

Leo, tarehe 8 Septemba 2025, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amekutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza…

ccmkwanza ccmkwanza

TUTAMPIGIA KURA CHIFU MWENZETU DKT. SAMIA – MACHIFU

Baadhi ya machifu na wasaidizi wao wa Wilaya ya Mbeya Vijijini waliohojiwa katika mkutano wa kampeni za CCM katika Mji wa Mbalizi Septemba 4, 2025, wameomba amani ya nchi idumishwe…

ccmkwanza ccmkwanza

WAPIGA MAGOTI KUMUOMBEA KURA DKT. SAMIA

BAADHI ya viongozi na wagombea ubunge  katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamekuwa wakitumia utaratibu wa kupiga magoti mbele ya wananchi kumuombea kura Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi…

ccmkwanza ccmkwanza