SERIKALI YAWASHUKURU WANANCHI KUONESHA UTULIVU NA UZALENDO KUILINDA NCHI
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amewashukuru Watanzania kwa kuonesha utulivu na uzalendo katika kuilinda amani ya taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho Tanzania inaadhimisha miaka 64…
MAANDAMANO YA DESEMBA 9 YAPIGWA MARUFUKU
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yanayohamasishwa katika mitandao ya kijamii kwa kuyaita maandamano ya amani ya Disemba 09, 2025 kutokana na kutofuata taratibu kulingana na sheria ya…
December 6, 2025
Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa imepokea na kuyazingatia matamko ya umma yaliyotolewa nyakati mbalimbali na Wadau wa maendeleo na Nchi Rafiki za Ubelgiji, Kanada, Denmark, Ujumbe wa Umoja wa Ulaya,…
SALEHE MHANDO ALA KIAPO CHA UTIIFU NA UZALENDO BUNGENI
Salehe Mhando akila kiapo cha utiifu na uzalendo cha ubunge katika uapisho uliofanyika bungeni Dodoma Novemba 12, 2025 tayari kuanza kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Kilindi mkoani Tanga. IMEANDALIWA NA…
UFAFANUZI DHIDI YA WANAOJARIBU KUFANYA UPOTOSHAJI KATIKA HOTUBA YA RAIS DKT. SAMIA NA MISINGI YA KUJENGA TAIFA LETU
Baraka Mussa, Kigoma Mjini Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa tarehe 14 Novemba 2025 wakati wa kufungua rasmi Bunge la 13 ni…