UZINDUZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA, TUMEKAMILISHA MAONO YA BABA WA TAIFA – RAIS SAMIA

Na Richard Mwaikenda, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali yake ya Awamu ya Sita imeandika historia  nyingine…

ccmkwanza ccmkwanza

MACHUMU AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI, VIONGOZI KUELEZEA MAFANIKIO YA ZIARA YA RAIS SAMIA ETHIOPIA, DUBAI

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu akizungumza na Waandishi wa Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2026 kuhusu Ziara za Kikazi za Rais wa…

ccmkwanza ccmkwanza

KIHONGOSI AWEKA HADHARANI AHADI ZA RAIS SAMIA ZILIZOTEKELEZWA NDANI YA SIKU 100

 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametaja ahadi lukuki zilizotekelezwa ndani ya siku 100 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kampeni…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI MIGIRO AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu John Mongella,leo Januari 17,2027 amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi…

ccmkwanza ccmkwanza