DKT. MAJULE AITAKA RITA KUWAONEA HURUMA WAFIWA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Neema Peter Majule, ameishauri Serikali kuboresha utendaji wa Wakala wa usajili, UfilisiDKT na udhamini (RITA) ili kuondoa ucheleweshaji wa utoaji wa vyeti vya…

ccmkwanza ccmkwanza

WAZIRI HOMERA AWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera akiwasilisha bungeni Dodoma Aprili 24, 2026, hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027.

ccmkwanza ccmkwanza

MATUKIO YA WABUNGE BUNGENI DODOMA

Wabunge wakiwa viunga vya Bunge tayari kuingia bungeni Dodoma Aprili 22, 2026, kuhudhuria mkutano wa 3, kikao cha 14, Bunge la 13.  IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

ccmkwanza ccmkwanza

KASAKA AWAKA BUNGENI UCHELEWESHWAJI MRADI WA MAJI CHUNYA

Mbunge wa Lupa Chunya, Masache Kasaka ameihoji serikali bungeni kwamba lini ujenzi wa Mradi wa Maji Chunya uliosainiwa na kutengewa fedha utaanza lini? Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali…

ccmkwanza ccmkwanza

MWANYIKA AITAKA SERIKALI KUJENGA VIWANDA MAENEO YA VIJIJINI

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji imekubali ombi la Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika la kutenga mkoani Njombe maeneo ya kiuchumi ya kujenga viwanda vya kuongeza thamani…

ccmkwanza ccmkwanza

TUMIENI MVUA ZA MASIKA KUPANDA MITI-SINENE

Balozi wa Mazingira,Ahidi Sinene ametoa wito kwa wananchi kuzitumia mvua za masika zinazoendeleo kupanda miti kwa ajili ya kuhifadhi mazingira na kwani jambo hilo ni ibada kama ibada zingine na…

ccmkwanza ccmkwanza

CCM YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA UMOJA WA MATAIFA MAKAO MAKUU YA DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Asha-Rose Migiro,leo tarehe 11 Machi 2026 amefanya mazungumzo jijini Dodoma na Balozi Parfait Onanga-Anyanga, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa…

ccmkwanza ccmkwanza

MAKATIBU WAKUU VYAMA VYA UKOMBOZI WAJADILI HALI YA KISIASA KUSINI MWA AFRIKA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza Kikao cha 12 cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, ambapo, pamoja na mambo mengine, vimejadili hali ya siasa, ukombozi wa kiuchumi…

ccmkwanza ccmkwanza

WANU AKITAKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MZENGA KUTOA MAFUNZO YANAYOENDANA NA UCHUMI WA ENEO

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, ameutaka uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mzenga, kilichopo Kata ya Mzenga, Wilaya ya Kisarawe, kuhakikisha kinatoa mafunzo…

ccmkwanza ccmkwanza