NI KITIMU TIMU KWA WANAOWANIA UJUMBE BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Katibu wa Bunge, Baraka Leonard ametangaza majina ya matatu ya watanzania walioteuliwa kugombea ujumbe wa Bunge la Afrika Mashariki katika uchaguzi utaofanyika Jumatatu Mei 4, 2026 bungeni Dodoma. Majina hayo…
COPRA IWE JICHO LA KUSIMAMIA MAZAO HADI NGAZI YA VIJIJINI – MWALUNENGE
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge ameipongeza Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa ruzuku katika mbolea na baadhi ya pembejeo, lakini pia ameshauri COPRA kuongezewa nguvu ya…
DKT. MAJULE ATAKA WANANCHI VIJIJINI KULIPWA VIZURI BIASHARA YA HEWA YA UKAA
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Neema Majule ameihoji serikali bungeni kwamba ina mkakati gani wa kuwezesha wananchi kulipwa malipo sahihi ya uuzwaji wa hewa ya ukaa? na hatimaye…
NMB YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE, HOSPITALI NJOMBE
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ameziomba taasisi za kifedha kusaidia upatikanaji wa mashine za kusafisha damu — dialysis — katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ili…
MZINDAKAYA ATAKA RUKWA IANGALIWE KWA JICHO LA KIPEKEE KUBORESHA SEKTA YA KILIMO
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Jackline Mzindakya akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Aprili 28,…
NI NEEMA TUPU BAJETI WIZARA YA MADINI
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde akiwasilisha bungeni Dodoma Aprili 27, 2026, Makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2026/ 2027.
SERIKALI YAKUBALI OMBI LA MWANYIKA KUJENGA VITUO VYA KUPOOZA UMEME NJOMBE
Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka Serikali kupeleka vituo vya kupoozea umeme katika maeneo ya uwekezaji Njombe Mjini. Ameyasema hayo awakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma…
KAMATI YA BUNGE INAKUPONGEZA RAIS SAMIA KUNUNUA MELI YA UVUVI – MWANYIKA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, Deodatus Mwanyika amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kununua meli kubwa…
MACHIFU WABARIKI MWALUNENGE AKIZINDUA UCHIMBAJI VISIMA ITENDE, MBEYA MJINI
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge amefanya uzinduzi wa kuchimba visima ikiwa kisima kimoja kitaghalimu Sh. milioni 12 mpaka kukamilika kwake na vitachimbwa katika Jimbo la Mbeya Mjini…
NMB YAKUSANYA MAPATO ZAIDI SH. TRIL. 9.8 KUPITIA MIFUMO YA KIJIDITALI
Benki ya NMB imesema uwekezaji wake katika mifumo ya kidijitali ya ukusanyaji wa mapato umeisaidia Serikali kukusanya zaidi ya Sh trilioni 9.8 kupitia majukwaa yake tangu mwaka 2018. Mafanikio hayo…