MWANDABILA ATAKA MAKANDARASI WA MAJI SONGWE WALIPWE MIRADI IENDELEE
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila ameiomba Wizara ya Maji kupeleka la RUASA wilayani Ileje kwa lengo la kusaidia kuboresha sekta ya maji wilayani humo. Aidha, Mwandabila…
RAIS SAMIA ANAENDELEA KUPELEKA KUPELEKA FURAHA NA NEEMA KWA WATUMISHI WA UMMA TANZANIA.-KIKWETE
Nimezungumza na maafisa tawala na RasilimaliWatu , katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa AICC, Arusha na kuwakumbusha kutekeleza wajibu wao na kuleta furaha kwa watumishi wa umma ili kwa upande mwengine…
NAIBU WAZIRI WANU ATETA NA WANAFUNZI BUNGENI
Naibu Waziri wa Elimu na Teknolojia ya Habari, Wanu Hafidh Ameir akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Chemchem ya Jijijini Dodoma iliyotembelea Bunge jijini Dodoma Mei 6, 2026, kwa lengo…
SHULE 90 ULYANHULU WANAFUNZI WAENDA SHULE NA VIDUMU VYA MAJI; WAZIRI AWESO NDIYO MWAROBAINI WAOKOE – LUFUNGIJA
Mbunge wa Jimbo la Ulyankulu, Japhael Lufungija ameshangaa Jimbo hilo kutokuwa na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria na kuomba wapelekewe kwa lengo la kuwatatulia kero ya maji wananchi. Pamoja…
NI NEEMA TUPU BAJETI YA WIZARA YA MAJI
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akisoma hutuba ya Bajeti ys wizara hito kwa mwaka wa Fedha wa 2026/ 2027 bungeni Dodoma Mei 5, 2026. Zaidi ya Sh. Tril. 1.1 zimeombwa…
UKUMBI WARINDIMA RAIS RUTO AKILIHUTUBIA BUNGE LA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto akihutubia Bunge la Tanzania Dodoma Mei 5, 2026 na kuufanya ukumbi kurindima kwa shangwe.
PROF. MUHONGO ATAHADHARISHA MATUMIZI YA ZIWA VICTORIA, NYASA GRIDI YA MAJI YA TAIFA
Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo ameitahadharisha Wizara ya Maji kuwa makini kutumia maji ya maziwa hayo kuwa chanzo pekee yatakayotumika kwenye Gridi ya Taifa ya Maji kwani hata…
JISOMEE MAGAZETI LEO JUMAMOSI MEI 2, 2026
JISOMEE MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 2, 2026
BENKI YA NMB YAPOKEA TUZO KUFANIKISHA MAADHIMISHO SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI NJOMBE
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ni fursa ya kutambua mchango wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa. Kama Mwajiri Kinara nchini, tumedhamini na kushiriki maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika kitaifa…