UWT MKOA WA PWANI YAWAPIGA MSASA MADIWANI WA VITI MAALUMU KUWAJENGEA UWEZO
Na Victor Masangu,Pwani Jumuiya ya umoja wa wanawake (UWT) Mkoa wa Pwani imeamua kuwajengea uwezo na maharifa madiwani wote wa viti maalumu kwa kuwapatia semina elezeki ambayo itawasaidia katika kutekeleza…
RC PWANI AWATAKA WATENDAJI WA KATA KUVALIA NJUGA KERO NA CHANGAMOTO ZA WANANCHI
Na Victor Masangu,Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani Alhaj Abubakar kunenge amewataka watendaji wa Kata kuhakikisha wachapa kazi kwa weledi na bidii ikiwemo kushughulikia changamoto mbali mbali zinazowakabiliwa wananchi ikiwemo …
LUFUNGIJA ATAKA JESHI LA SUNGUSUNGU LIUNDIWE SHERIA MAALUMU
Mbunge wa Ulyanhulu, mkoani Tabora, Rafael Masanja Lufungija akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma…
MWALUNENGE AITAKA SERIKALI KUWAWEZESHA WAENDESHA BODABODA 300 MRADI WA ASALI MSITU KAWETELE MBEYA
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge amewatetea na kuwapambania bungeni waendesha bodaboda 120 ambao pikipiki zao zimekamatwa na Askari wa Wakala wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (TFS) kwa tuhuma za…
MALALAMIKO 45 YA WALAJI WADOGO YAPATIWA UFUMBUZI NA FCC
Wizara Viwanda na Biashara kupitia FCC imeendelea na juhudi za kupambana na bidhaa bandia na kumlinda mlaji dhidi ya mienendo potofu, hadaifu na kandamizi katika soko la bidhaa na huduma. …
NMB YASHANGAZA, YAGAWA BIL. 305 KWA WANAHISA
NMB Bank Plc imeweka rekodi mpya katika sekta ya benki nchini baada ya kupendekeza gawio la takribani Sh bilioni 305 kwa mwaka wa fedha wa 2025, likiwa ni sawa na…
BARABARA HIZI NJOMBE NI MUHIMU KIUCHUMI, ZIJENGWE – MWANYIKA
Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka Serikali kukamilisha haraka ujenzi wa barabara ya mkakati ya Itoni- Lusitu pamoja na barabara ya Makambako, Njombe hadi Songea kwani zote zina umuhimu…
SUBIRA MGALU ACHANGIA MAKUBWA BAJETI WIZARA YA UJENZI
Mbunge wa Bagamoyo, Subira Mgalu akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 20, 2026.