DKT. MAJULE AMFANYIA BALOZI WA CHINA MAPOKEZI YA HESHIMA DODOMA

Balozi wa China nchini Tanzania Chen Mingjian akilakiwa kwa bashasha na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma  ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa Mkoa huo, Dkt.…

ccmkwanza ccmkwanza

MARUFUKU MATUMIZI YOYOTE YA BANGI NCHINI – WAZIRI KABUDI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge na watu wenye ulemavu), pRofesa Paramagamba Kabudi amesema kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi kisheria hairuhusiwi matumizi ya aina…

ccmkwanza ccmkwanza

MIAKA 18 BAADAYE: JK AKUTANA TENA NA CATHERINE, BINTI ALIYEFANYIWA UPASUAJI WA MOYO AKIWA NA MIAKA MINNE

RAIS  mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, leo Mei 29, 2026 amekutana tena na Bi. Catherine P. Conrad Minja, aliyefanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio akiwa na…

ccmkwanza ccmkwanza

Wafanyabiashara Wapata Mbinu za Ukuaji Kupitia NMB Business Club

Benki ya NMB imeendelea kuimarisha huduma kwa wafanyabiashara kupitia NMB Business Club, jukwaa linalowapa wateja elimu ya fedha, teknolojia na fursa mbalimbali za kukuza biashara zao kwa uendelevu. Semina hiyo…

ccmkwanza ccmkwanza

60,000 WAITWA JKT KUPATIWA MAFUNZO YA UZALENDO, UTAYARI WA KULIJENGA, KULITUMIKIA TAIFA

MKUU wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele amewataka wahitimu wa kidato cha sita Tanzania Bara na Visiwani waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria…

ccmkwanza ccmkwanza

NMB Foundation, TACAIDS Waunganisha Afya na Uchumi Kupambana na Maambukizi ya VVU

Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Adam Mrisho kulia, akibadilishana hati ya makubaliano na Meneja Mkuu wa NMB Foundation, Nelson Karumuna, mara baada ya kusaini makubaliano…

ccmkwanza ccmkwanza

MATUKIO YA MBUNGE WA MBEYA MJINI MWALUNENGE BUNGENI

 Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge (kulia) akijadiliana jambo na wabunge wenzie katika Mkutano wa 3 Kikao cha 37 cha Bunge la 13, bungeni Dodoma Mei 26, 2026. IMEANDALIWA NA…

ccmkwanza ccmkwanza

SOMENI KWA BIDII MJE KUWA MAWAZIRI WA BAADAYE – WANU

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir akitoa neno la kuwatia moyo wanafunzi wa Shule ya St. Dominic Savio ya Iringa waliotembelea Bunge Mei 26, 2026. Awali…

ccmkwanza ccmkwanza