TUNATAKA WAKANDARASI WAREJEE HARAKA KUJENGA BARABARA YA ITONI – LUSITU – MWANYIKA
Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amezidi kuibana serikali kuhusu maendeleo ya ujenzi unaosuasua wa barabara ya Itoni- Lusitu mkoani Njombe. Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu…
NMB YAPELEKA ELIMU YA FEDHA KWA MAELFU YA VIJANA
Benki ya NMB imesisitiza umuhimu wa kupeleka elimu ya fedha kwa umma sambamba na kupanua huduma rasmi za kifedha, ikisema ujumuishaji wa kifedha unahitaji vijana kuelewa kuweka akiba, kupanga matumizi,…
USHIRIKIANO WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI NI UFUNGUO WA AJIRA KWA VIJANA-WANU
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi na taasisi za elimu katika kuwaandaa vijana kwa soko la…
RAIS SAMIA ATUA NCHINI KUTOKA ZIARA NCHINI URUSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha…
RAIS SAMIA AHUTUBIA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UCHUMI LA St. Petersburg (SPIEF’26)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Kongamano la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF’26) linalofanyika kwenye ukumbi wa…
CHATANDA: MAGEUZI MAKUBWA YA KIMAENDELEO, SIRI YA RAIS SAMIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA URUSI
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC), Mary Chatanda amesema mageuzi makubwa ya kimaendeleo yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan…
DK. MIGIRO, AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA KUHUSU DIRA 2050
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Asha-Rose Migiro, leo Ijumaa Juni 5,2026 amefanya mazungumzo na Mheshimiwa Marianne Young, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, katika Makao Makuu ya CCM,…