DKT SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar ,tarehe 29…
RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUMU WA RAIS WA CHINA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Salaam Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe Xi Jinping Rais wa Jamhuri…
DKT. MIGIRO AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI KISIWANDUI, ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akiongoza Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar, leo…
DKT. MDAKU AWATAKA VIONGOZI CCM KUDUMISHA UMOJA NA MSHIKAMANO
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Mhe. Dkt. Mecktridis Mdaku, amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sofi kuendelea kuimarisha chama kwa kuongeza wanachama wapya, kudumisha umoja…
NMB YASHINDA HATI FUNGANI YA SH. BIL. 262.5 SOKO LA HISA LONDON
Tanzania imepiga hatua nyingine kimataifa baada ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) kuorodhesha hatifungani yake ya kwanza ya kimataifa kwa Shilingi ya Tanzania katika Soko la Hisa la London…
WAZIRI SANGU AHAMASISHA WAJASIRIAMALI KUJISAJILI KUSHIRIKI MAONESHO NCHINI RWANDA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus C. Sangu, akizungumza na waandishi wa habari mjini Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, leo Julai 23, 2026,kuhusu Tanzania…
NMB YAONGOZA BENKI ZA TANZANIA KUTOA MKOPO WA SH. BIL. 224 KWA MGODI WA GEITA
Benki ya NMB imewekeza takribani dola za Marekani milioni 100, sawa na Shilingi bilioni 224, katika mkopo wa pamoja wenye thamani ya dola milioni 500 kwa ajili ya Mgodi wa…
RAIS SAMIA ARUHUSU SH. TRIL. 6 UJENZI WA RELI YA SGR TABORA – KIGOMA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), akibainisha kuwa zaidi ya shilingi trilioni 6 zimetengwa kwa ajili ya mradi huo…