LETENI HARAKA FEDHA ZA KUKAMILISHA UJENZI WA VITUO VYA AFYA KILINDI – MHANDO

Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Saleh Mhando bungeni Dodoma Juni 4, 2026, kwamba lini Serikali itapeleka fedha za Awamu ya Pili kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Vituo vya Afya…

ccmkwanza ccmkwanza

SERIKALI IMEJIPANGAJE WANAWAKE, VIJANA KUSHIRIKI KWENYE UCHUMI JUMUISHI? – DKT. MAJULE

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wa mkoa huo, Dkt. Neema Majule ameihoji Serikali bungeni Dodoma Juni 4,…

ccmkwanza ccmkwanza

MWANDABILA ACHANGIA MAKUBWA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu kwa mwaka wa Fedha…

ccmkwanza ccmkwanza

BAJETI WIZARA MAENDELEO YA JAMII IMEJAA MAMBO MAZURI

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Doroth Gwajima akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma…

ccmkwanza ccmkwanza

MBUNGE MWANYIKA ALONGA NA MKURUGENZI MKUU WA NHC BUNGENI

Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika (kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamad Abdallah kwenye viunga vya Bunge Mei 28, 2026. …

ccmkwanza ccmkwanza

MILIKISHENI WANAWAKE ARDHI KUEPUSHA MIGOGORO YA MIRATHI – DKT. MAJULE

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wa mkoa huo, Neema Majule ameishauri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo…

ccmkwanza ccmkwanza

BALOZI WA CHINA AWAMWAGIA CHEREHANI 120 WANAWAKE WA DODOMA, DKT. MAJULE ASHANGILIA

Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian amekabidhi msaada wa cherehani 120 kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) wa…

ccmkwanza ccmkwanza