MBUNGE EDIBILY AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UTEKELEZAJI WA MIRADI KASULU VIJIJINI
Edibily amesema wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini wanampenda Rais wao Dr. Samia Suluhu Hassan na Chama Cha Mapinduzi. Edibily kasisitiza uimara wa chama na hatima ya wawakilishi wa wananchi…
MWANYIKA AZIDI KUIBANA SERIKALI UKAMILISHAJI WA KITUO CHA AFYA LUGENGE
Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni Dodoma Mei 18, 2026, kwamba ina mipango gani ya kuwaunga mkono wananchi kusaidia ujenzi wa Kituo cha Afya Lugenge katika Jimbo…
WAONGOZA WATALII WAMPAMBA WAZIRI DKT. KIJAJI BUNGENI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) akiwa na waongoza utalii alipowasili kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 18, 2026 tayari yeye kuingia bungeni kuendelea na Bajeti…
NMB Yavuta Mitaji ya Sh Bilioni 468 Kusaidia SMEs, Kilimo na Vijana
Benki ya NMB Plc imepata ufadhili wa jumla ya Dola za Marekani milioni 180, sawa na takribani Sh bilioni 468.1 za Kitanzania, kutoka IFC, British International Investment na Norfund, kwa…
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAINGIA KIANA NA CHABA KUWASILISHA BAJETI
Chaba amewaongoza Wahadzabe wenzake kuipamba Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii waliposhirikishwa kumlaki Waziri wa Wizara ya hiyo, Dkt. Ashatu Kijaji alipowasili na mkoba wa Bajeti kwenye viunga vya…
ZAIDI YA WANAWAKE 300 KUHUDHURIA MKUTANO WA MABUNGE UKANDA WA MAZIWA MAKUU
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingia makubaliano na Jukwaa la Mabunge ya Nchi Ukanda wa Maziwa Makuu ambapo Tanzania imekubali kuandaa mkutano wa Wanawake wa Mabunge hayo utakaofanyika…
MWANYIKA ANG’AKA BUNGENI KUKWAMA KWA MIRADI YA MAJI KIFANYA, IGONGWI NJOMBE
Serikali kupitia Wizara ya Maji imemuahidi Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika kupeleka sh. mil. 200 za kukamilisha ujeni wa mradi wa Maji wa Igongwi jimboni humo. Pamoja na Mambo…
MWANDABILA ASHANGAA KIPENGELE CHA CHAKULA, LISHE KUKIPELEKA TBS
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 11, 2026.
BAJETI WIZARA YA AFYA YAFIKIA SH. TRIL. 1.8
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 11, 2026. Jumla ya fedha zote zinazoombwa…
MATUKIO YA WABUNGE BUNGENI DODOMA
Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge wakiwahi kuingia bungeni Dodoma Mei 11, 2026, kuhudhuria Mkutano wa Bajeti ambapo leo imekuwa Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa Fedha wa 2026/2027.…