INJINI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IPO MASHINANI; DKT.MIGIRO
Asisitiza mabalozi kupandisha bendera za chama kwenye maeneo yao. -Asema chama kinawajali na kuwathamini mabalozi. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amesema maendeleo ya kweli…
KIHONGOSI KUANZA ZIARA MKOA WA SINGIDA
Baada ya kumaliza kunadi ilani yetu ya uchaguzi ya CCM (2025/30) nchi nzima, Sasa kazi ni moja tuu kupita katika kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero na changamoto za…
LEO NI LEO TANZANIA NA NIGERIA AFCON
Tanzania (Taifa Stars) inaanza kampeni yake ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) leo kwa mtihani mzito dhidi ya vigogo Nigeria, kabla ya kuwakabili Uganda siku nne baadaye na…
KATIBU MKUU CCM ATETA NA BALOZI WA JAMHURI YA WATU WA CHINA NCHINI TANZANIA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu, Desemba 22, 2025, amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen…
HONGERA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUDHIBITI TISHIO LA MAANDAMANO HARAMU DESEMBA 9
SINA BUDI kuvipongeza vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kazi kubwa yenye uweledi kwa kudhibiti kwa kiwango cha Juu hali ya usalama wa Nchi Desemba 9, 2025 na kuendelea. …
DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA LINDI YA UDSM
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Lindi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika eneo la Ngongo mkoani Lindi na kusema…