VETA Karagwe inavyowakomboa vijana kupitia elimu ya ufundi
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Hassan Suluhu imeamua kuwekeza katika vyuo vya ufundi na ikapanua huduma zake katika Chuo cha VETA wilayani Karagwe ambapo awali kulikuwa…
Maaonesho ya Utalii ya IBT – Ujerumani
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akimkabidhi zawadi Rais ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Utalii Duniani (World Travel and Tourism Council-WTTC) Julia Simpson mara…
DK. Nchimbi apokelewa kwa shangwe Pemba
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema anawaheshimu na kuwakubali wanaCCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM, bila kuyumba.…
Ulinzi shirikishi dhana inayobebwa na wananchi kikamilifu Makumbusho
LINZI shirikishi ni ushirikishwaji wa jamii nzima na wadau wa masuala ya usalama katika kubaini , kuzuia na kutatua uhalifu na kero mbalimbali za uhalifu katika jamii kwa kushirikiana na…
Watu 18 wamefariki baada ya lori kukosea njia Kusini Magharibi mwa Congo
Lori lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi lilishindwa kudhibitiwa na kutumbukia kwenye korongo kusini-magharibi mwa Congo, na kuua abiria 18 waliokuwa ndani ya gari hiyo na kuwajeruhi zaidi ya kumi…
Dkt. Biteko aendelea na ukaguzi wa vyanzo vya kuzalisha umeme, atua Kidatu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara ya kukagua vyanzo mbalimbali vya uzalishaji umeme nchini ambapo leo amekagua Bwala la kuzalisha umeme la…
Tanapa yasema ujauzito mwisho shule ya sekondari sitalike-mpanda
Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara – TANAPA Herman Batiho amekagua Bweni la wasichana jana Februari 23, 2024 katika Shule ya Sekondari Sitalike iliyoko Wilayani Mpanda katika mkoa…