YALIYOJIRI ZIARA YA DKT NCHIMBI; ASISITIZA SUALA LA MBOLEA, MSHIKAMANO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Nchimbiakihutubia wananchi katika ziara yake ya kikazi mkoani Rukwa, amesisitiza serikali  kusambaza  mbolea kwa wakati na kutafuta masoko ya mazao ya…

ccmkwanza ccmkwanza

TUMIENI MVUA ZA MASIKA KUPANDA MITI-SINENE

Balozi wa Mazingira,Ahidi Sinene ametoa wito kwa wananchi kuzitumia mvua za masika zinazoendeleo kupanda miti kwa ajili ya kuhifadhi mazingira na kwani jambo hilo ni ibada kama ibada zingine na…

ccmkwanza ccmkwanza

CCM YAFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA UMOJA WA MATAIFA MAKAO MAKUU YA DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Asha-Rose Migiro,leo tarehe 11 Machi 2026 amefanya mazungumzo jijini Dodoma na Balozi Parfait Onanga-Anyanga, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa…

ccmkwanza ccmkwanza

MAKATIBU WAKUU VYAMA VYA UKOMBOZI WAJADILI HALI YA KISIASA KUSINI MWA AFRIKA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza Kikao cha 12 cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, ambapo, pamoja na mambo mengine, vimejadili hali ya siasa, ukombozi wa kiuchumi…

ccmkwanza ccmkwanza

WANU AKITAKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MZENGA KUTOA MAFUNZO YANAYOENDANA NA UCHUMI WA ENEO

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, ameutaka uongozi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mzenga, kilichopo Kata ya Mzenga, Wilaya ya Kisarawe, kuhakikisha kinatoa mafunzo…

ccmkwanza ccmkwanza

UZINDUZI WA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA, TUMEKAMILISHA MAONO YA BABA WA TAIFA – RAIS SAMIA

Na Richard Mwaikenda, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali yake ya Awamu ya Sita imeandika historia  nyingine…

ccmkwanza ccmkwanza