MAKALLA ASIKITISHWA NA KAULI YA KIBAGUZI YA TUNDU LISSU

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesikitishwa na kushangaa kauli zenye hila na upotoshwaji zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na…

ccmkwanza ccmkwanza

MAKALLA ALIVYOTATUA KWA UMAHIRI KERO LUKUKI ZA WANANCHI KATAVI

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akitatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara yao na Katibu Mkuu wa CCM,…

ccmkwanza ccmkwanza

YALIYOJIRI ZIARA YA DKT NCHIMBI; ASISITIZA SUALA LA MBOLEA, MSHIKAMANO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Nchimbiakihutubia wananchi katika ziara yake ya kikazi mkoani Rukwa, amesisitiza serikali  kusambaza  mbolea kwa wakati na kutafuta masoko ya mazao ya…

ccmkwanza ccmkwanza

YALIYOJIRI ZIARA YA DKT NCHIMBI; ASISITIZA SUALA LA MBOLEA, MSHIKAMANO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Nchimbiakihutubia wananchi katika ziara yake ya kikazi mkoani Rukwa, amesisitiza serikali  kusambaza  mbolea kwa wakati na kutafuta masoko ya mazao ya…

ccmkwanza ccmkwanza

Klabu haina nia kumruhusu mshambuliaji Alexander Isak kuondoka msimu huu wa joto

Meneja wa Newcastle United Eddie Howe anasisitiza kuwa klabu hiyo haina nia ya kumruhusu mshambuliaji Alexander Isak kuondoka msimu huu wa joto. Isak, 24, alijiunga kutoka Real Sociedad kwa uhamisho…

ccmkwanza ccmkwanza

Bifu la P Diddy na 50 Cents lahusishwa na wivu wa mapenzi

Furaha iliyoonyeshwa na 50 Cent katika matatizo anayopitia staa wa muziki Sean ‘Diddy’ Combs huenda ikachochewa na wivu wa kimapenzi, baada ya Combs kushutumiwa kwa kumlipa ex wa 50 Cent…

ccmkwanza ccmkwanza

VETA Karagwe inavyowakomboa vijana kupitia elimu ya ufundi

SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Hassan Suluhu imeamua kuwekeza katika vyuo vya ufundi na ikapanua huduma zake katika Chuo cha VETA wilayani Karagwe ambapo awali kulikuwa…

ccmkwanza ccmkwanza

Maaonesho ya Utalii ya IBT – Ujerumani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akimkabidhi zawadi Rais ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Utalii Duniani (World Travel and Tourism Council-WTTC) Julia Simpson mara…

ccmkwanza ccmkwanza

DK. Nchimbi apokelewa kwa shangwe Pemba

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema anawaheshimu na kuwakubali wanaCCM wa Pemba kwa misimamo yao thabiti katika kuilinda na kuitetea CCM, bila kuyumba.…

ccmkwanza ccmkwanza

Ulinzi shirikishi dhana inayobebwa na wananchi kikamilifu Makumbusho

LINZI shirikishi ni ushirikishwaji wa jamii nzima na wadau wa masuala ya usalama katika kubaini , kuzuia na kutatua uhalifu na kero mbalimbali za uhalifu katika jamii kwa kushirikiana na…

ccmkwanza ccmkwanza