KATIBU MKUU CCM ATETA NA BALOZI WA JAMHURI YA WATU WA CHINA NCHINI TANZANIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, leo Jumatatu, Desemba 22, 2025, amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Chen…

ccmkwanza ccmkwanza

HONGERA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUDHIBITI TISHIO LA MAANDAMANO HARAMU DESEMBA 9

SINA BUDI kuvipongeza vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kazi kubwa yenye uweledi kwa kudhibiti kwa kiwango cha Juu hali ya usalama wa Nchi Desemba 9, 2025 na kuendelea. ‎…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KAMPASI YA LINDI YA UDSM

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kampasi ya Lindi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika eneo la Ngongo mkoani Lindi na kusema…

ccmkwanza ccmkwanza

SERIKALI YAWASHUKURU WANANCHI KUONESHA UTULIVU NA UZALENDO KUILINDA NCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amewashukuru Watanzania kwa kuonesha utulivu na uzalendo katika kuilinda amani ya taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho Tanzania inaadhimisha miaka 64…

ccmkwanza ccmkwanza

MAANDAMANO YA DESEMBA 9 YAPIGWA MARUFUKU

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yanayohamasishwa katika mitandao ya kijamii kwa kuyaita maandamano ya amani ya Disemba 09, 2025 kutokana na kutofuata taratibu kulingana na sheria ya…

ccmkwanza ccmkwanza

December 6, 2025

Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa imepokea na kuyazingatia matamko ya umma yaliyotolewa nyakati mbalimbali na Wadau wa maendeleo na Nchi Rafiki za Ubelgiji, Kanada, Denmark, Ujumbe wa Umoja wa Ulaya,…

ccmkwanza ccmkwanza