BALOZI NCHIMBI AFUNGUA MKUTANO MKUU MAALUMU WA TEF
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa mgeni rasmi, leo Ijumaa tarehe 4 Aprili, amefungua Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF),…
ZIARA YA DKT. NCHIMBI YAANZA KURINDIMA RUVUMA
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga…
MONGELLA ATOA WITO WA AMANI KWA WANA~CCM UCHAGUZI MKUU 2025
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, amewataka wanachama wa chama hicho kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza leo, Machi…
RAIS SAMIA ASWALI SALA YA KITAIFA YA EID EL FITR KINONDONI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti tofauti aliposali sala ya Eid El Fitr Kitaifa kwenye Msikiti wa Mfalme wa VI BAKWATA Makao Makuu…
WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa…
WASIRA AFAFANUA KUONGEZA DENI LA TAIFA, AMTETEA RAIS DK.SAMIA
Na Mwandishi Wetu, Maswa MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi…
WASIRA AWAHAKIKISHIA WAKULIMA, CCM KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
MAKAMU Mwenyekiti wa Chana Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahakikishia wananchi wilayani Kishapu, Mkoa wa Shinyanga Chama hicho kitaendelea kutatua changamoto zao ikiwemo ya kuhakikisha wanapata mazao mengi…