DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE YA MWANZA-BUHONGWA, USAGARA
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, ameahidi kuongeza bajeti ya ujenzi wa barabara zinazohudumiwa na…
ZAIDI YA WATU MIL. 14WAJITOKEZA MIKUTANO YA KAMPENI YA DKT. SAMIA
Na Richard Mwaikenda, Dodoma ZAIDI ya watu milioni 14.62 wamejitokeza kwenye mikutano moja kwa moja, milioni 31.6 wamefuatilia kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii katika mikutano ya kampeni…
MAMBO YAMEKUWA MAMBO KAMPENI ZA DKT. SAMIA BABATI, MANYARA
Mambo yamekuwa bambam, yamepamba moto katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mjini Bababti,…
DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA SGR MPYA, BANDARI YA BAGAMOYO
Na Richard Mwaikenda, Pwani MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Reli ya kisasa ya SGR itakayounganisha…
JITOKEZENI KWA WINGI BILA HOFU SIKU YA KUPIGA KURA OKTOBA 29 – DKT. SAMIA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ametoa wito kwa watanzania kushiriki kampeni za uchaguzi mkuu kupitia…
KUMEKUCHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA PEMBA
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Gombani…
KAMPENI ZA DKT. SAMIA ZAHAMIA ZANZIBAR
Baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2025, leo Septemba 17, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…
NYOMI KAMPENI ZA DKT. SAMIA KIGOMA MJINI
Sehemu ya wananchi wakiwa katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM,Dkt Samia Suluhu Hassan Kigoma Mjini, Septemba 14, 2025.…
DKT. SAMIA AWASTUA WANA-KIGOMA KUCHANGAMKIA FURSA UJIO WA SGR
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma kujipanga kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujio…
URAMBO WAAPA KUMPIGIA KURA DKT. SAMIA
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Urambo mkoani Tabora wakielezea jinsi wanafurahishwa na uongozi wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt Samia Suluhu Hassan na…