BALOZI NCHIMBI APIGA MARUFUKU WIMBO UNAOCHOCHEA CHUKI DHIDI YA WAPINZANI
_Una maneno yaliyotumiwa dhidi ya Nduli Idi Amin_ _Asisitiza utaifa ulindwe kwa wivu mkubwa_ KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na…
BALOZI NCHIMBI: WAJUMBE WA CCM KURA ZA MAONI SIKILIZENI WANANCHI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema CCM itahakikisha inateua wagombea wazuri wanaokubalika kwa wapiga kura, akiwataka wajumbe wa vikao vya kura za maoni…
BALOZI NCHIMBI KWA NYERERE, AKABIDHIWA ’KIFIMBO’ KWA KUKUBALIKA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo na kukabidhiwa fimbo maalum na familia hiyo…
BALOZI NCHIMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM MKOA WA MARA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, kwenye kikao cha ndani kilichofanyika katika Ukumbi…
BALOZI NCHIMBI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI UWANJA WA NDEGE MUSOMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara,…
BALOZI NCHIMBI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akipokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na…
KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025
BOFYA HAPA KUSOMA KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025
BALOZI NCHIMBI ATOA SALAMU ZA PASAKA KATIKA MTOKO ULIONDALIWA NA WASANII WA INJILI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa salamu za Sikukuu ya Pasaka katika Tamasha la Mtoko wa Pasaka lililoandaliwa na Wasanii wa Muziki wa…
VIONGOZI WA CCM KATIKA PICHA YA PAMOJA WALIPOKUTANA ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa kwenye picha ya pamoja na…