DKT. SAMIA AAHIDI MAKUBWA UYUI, IGALULA
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga tanki kubwa la maji lenye ujazo Lita miliini moja…
NI GHARIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA SINGIDA, AAHIDI KUWATAFUTIA SOKO LA DENGU, MBAAZI
Sehemu ya umati wa wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye Uwanja wa Bombadia Mjini Singida leo Septemba 9, 2025.katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais Kupitia…
KINDUMBWE NDUMBWE CHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA NI ZAMU YA SINGIDA
Muendelezo wa mchakamchaka wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa…
DKT. MIGIRO AFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. MWINYI
Leo, tarehe 8 Septemba 2025, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amekutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza…
TUTAMPIGIA KURA CHIFU MWENZETU DKT. SAMIA – MACHIFU
Baadhi ya machifu na wasaidizi wao wa Wilaya ya Mbeya Vijijini waliohojiwa katika mkutano wa kampeni za CCM katika Mji wa Mbalizi Septemba 4, 2025, wameomba amani ya nchi idumishwe…
WAPIGA MAGOTI KUMUOMBEA KURA DKT. SAMIA
BAADHI ya viongozi na wagombea ubunge katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamekuwa wakitumia utaratibu wa kupiga magoti mbele ya wananchi kumuombea kura Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi…
DKT. SAMIA AZIDI KUSHUSHA NEEMA KWA WAKULIMA, KUANZISHA VITUO VYA KUKODISHA MATREKTA KWA BEI POA
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha vituo vya ukodishaji trekta nchini Amesema trekta hizo na zana zingine za kilimo …
ACHANENI NA WAHUNI WANAOPOTOSHA MAMBO MAZURI YANAYOFANYWA NA DKT. SAMIA-CHATANDA
Cheche za Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) alipokuwa akizundua Kampeni za CCM katika Jimbo la Mkuranga Mkoani Pwani, Kampeni …
NMB YATAMBULIWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA JKCI
Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema imeokoa zaidi ya Sh. bilioni 172 ambazo awali zilitumika kupeleka wagonjwa wa moyo nje ya nchi. Kauli hiyo…
KUMEKUCHA KAMPENI ZA DKT. NCHIMBI GEITA
Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi wa kata ya Katoro , leo Jumamosi Septemba 6,2025 Wilaya ya Geita, Mkoani Geita…