WANAWAKE WACHUUZI MAFINGA WAMKUBALI DKT. SAMIA

Baadhi ya wafanyabiashara wanawake wa Mafinga wilayani Mufindi wameahidi kumpigia kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,…

ccmkwanza ccmkwanza

SHANGWE ZALIPUKA DKT. SAMIA AKIWATANGAZIA NEEMA WAKULIMA WA CHAI, PARACHICHI NJOMBE

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa Njombe katika muendelezo…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. SAMIA MBIONI KUNYANG’ANYA MASHAMBA, VIWANDA VYA CHAI VILIVYOTELEKEZWA RUNGWE

Wawekezaji waliotelekeza mashamba na viwanda vya zao la chai wilayani Rungwe watanyang'anywa na kuvirejesha kwa wananchi chini ya usimamizi wa Vyama vya Ushirika. ‎ ‎Agizo hilo limetolewa na Mgombea Urais…

ccmkwanza ccmkwanza

TUTAJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHIA PARACHICHI – DKT. SAMIA

MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM,  Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali iko mbioni kujenga vituo 50 vyenye mitambo ya ubaridi wa kuhifadhia…

ccmkwanza ccmkwanza

NI MAFURIKO MKUTANO WA KAMPENI WA DKT. NCHIMBI KAHAMA

Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi  akiwahutubia Wananchi wa Kahama mjini, jimbo la Kahama, leo Alhamis Septemba 4,2025,mkoani Shinyanga. Dkt Nchimbi akihutubia…

ccmkwanza ccmkwanza

SERIKALI ITAGHARAMIA MATIBABU KWA WASIO NA UWEZO – DKT. SAMIA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amepiga marufuku Hospitali za Serikali kuzuia miili ya waliofariki dunia inayodaiwa. Dkt. Samia…

ccmkwanza ccmkwanza

SHANGWE, NDEREMO ZATAWALA MKUTANO WA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MBALIZI

.Shamrashamra katika mkutano wa KAMPENI za Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mji Mbalizi mkoani Mbeya Leo Septemba 4,2025.  BAADA ya uzinduzi wa kampeni…

ccmkwanza ccmkwanza

DKT. SAMIA AIHESHIMISHA MBEYA KWA MIRADI KEDEKEDE

 BAADA ya uzinduzi wa kampeni kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe Jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2025, hatimaye leo Septemba 4, 2025 Mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri…

ccmkwanza ccmkwanza

CHONGOLO AAHIDI NYANDA ZA JUU KUSINI KUMPATIA DKT. SAMIA USHINDI WA AJABU

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu wa Songwe, Daniel Chongolo amemuahidi Mgombea Urais wa Chama hicho, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba katika…

ccmkwanza ccmkwanza